Mtandao huu bado upo kwenye matengenezo, punde utapata matukio katika picha, habari, makala na taarifa mbali za kijamii...Endelea kutufuatilia

Monday, May 21, 2018

Wanafunzi wa shule ya sekondari Bunambiu Kishapu wanakaa chini

Wanafunzi wa Kidato cha kwanza shule ya sekondari Bunambiu wakiwa kwenye darasa ambalo limejaa na madawati hayatoshi

 wasichana wakiwa wamekaa chini wakijisomea, hili ni moja wapo ya darasa ambalo halina madawati kabisa na wasichana wamekuwa wakipata shida kujisitiri kutokana na ukosefu wa madawati shuleni.

No comments:

Post a Comment