Mtandao huu bado upo kwenye matengenezo, punde utapata matukio katika picha, habari, makala na taarifa mbali za kijamii...Endelea kutufuatilia

Kuhusu sisi

Sauti ya Jamii (Community Voice Media) ni jukwaa la habari zinazohusu wananchi wa vijijini hasa wanawake, watoto na wanaume ambao wapo pembezoni. Ni jukwaa lenye habari zote za kijamii na kijinsia ambazo zitakuhabarisha kwa undani ni kitu gani wananchi wanafanya huko vijijini, sauti zao juu ya upatikanaji wa huduma za jamii kama maji, Kilimo, Elimu, afya na uboreshwaji wa huduma za kilimo vijijini. Katika Mtandao huu utapata habari mchanganyiko na picha zinazoeleza juu ya hali halisi ilivyo vijijini na kuwapa watu wasio na sauti nafasi ya kupaza sauti yao.

No comments:

Post a Comment