Mtandao huu bado upo kwenye matengenezo, punde utapata matukio katika picha, habari, makala na taarifa mbali za kijamii...Endelea kutufuatilia

Monday, April 16, 2018

serikali itenge bajeti ya wananchi kuondoa mzigo wa kazi kwa wanawake wa vijijini

Kituo cha Taarifa na Maarifa Ukenyenge wakikabidhi mchango wa fedha kwa viongozi wa Gender Club ya shule ya sekondari Ukenyenge kwaajili ya kununualia mahitaji muhimu kwa wasichana.
 Hali halisi ya upatikanaji wa maji katika Halmashauri ya Kishapu ni changamoto hasa kwa wanawake na watoto. muda mwingi unatumika na wanawake kutafuta maji badala ya kufanya shughuli za Maendeleo hasa uchumi.

No comments:

Post a Comment