Wanafunzi wa kike wa sekondari washiriki kikamilifu
katika kuibua mijadala hasa masuala yanayohusu mustakabali wa elimu nchini
katika kuibua mijadala hasa masuala yanayohusu mustakabali wa elimu nchini
Wanaharakati kutoka Mkoa wa Singida walioshiriki katika Tamasha la Jinsia
la nne Ngazi ya Jamii, Mkambarani Morogoro wakiwa katika kilele cha Mlima Uluguru
la nne Ngazi ya Jamii, Mkambarani Morogoro wakiwa katika kilele cha Mlima Uluguru
Wanakituo cha Taarifa na Maarifa Kata za Kibuko, Mkambarani,
Kiroka na Kisaki Wilaya ya Morogoro wakiwa katika kilele cha Mlima Uluguru
Kiroka na Kisaki Wilaya ya Morogoro wakiwa katika kilele cha Mlima Uluguru
Washiriki wakifuatilia kwa umakini mada zilizokuwa
zikitolewa katika Tamasha la Jinsia
Wanavituo vya Taarifa na Maarifa Kata za Songwa, Kishapu, Ukenyenge,
Mwaweja na Mondo Wilaya ya Kishapu wakiwa katika picha ya pamoja mjini Morogoro
Mwaweja na Mondo Wilaya ya Kishapu wakiwa katika picha ya pamoja mjini Morogoro
Wanavituo vya Taarifa na Maarifa kutoka Kata za Ijombe, Tembela, Mshewe,
Igale wakiwa katika kilele cha Mlima Uluguru kudai haki ya kumiliki ardhi
Igale wakiwa katika kilele cha Mlima Uluguru kudai haki ya kumiliki ardhi
Wanawake wadai haki ya umiliki wa ardhi kwa wote na wakulima
wadogo wanufaike na kilimo
Wanawake walidai haki ya umiliki wa ardhi kwa wote na wakulima wadogo wanufaike na kilimo
Wanawake waliokuwa wameandaliwa kaajili ya tukio la uzinduzi
wa Ilani ya Wanawake kwa Uachaguzi Mkuu 2015
wa Ilani ya Wanawake kwa Uachaguzi Mkuu 2015
Washiriki wakiwa wamepozi na Mgeni rasmi, siku ya mwisho ya mafunzo
No comments:
Post a Comment