![]() |
| Wanafunzi wa Kidato cha kwanza shule ya sekondari Bunambiu wakiwa kwenye darasa ambalo limejaa na madawati hayatoshi |
wasichana wakiwa wamekaa chini wakijisomea, hili ni moja wapo ya darasa ambalo halina madawati kabisa na wasichana wamekuwa wakipata shida kujisitiri kutokana na ukosefu wa madawati shuleni.

No comments:
Post a Comment